Shambulio la bomu la ‘kujitoa muhanga’ laua watu 57 Kabul
Inaelezwa kuwa tukio hilo la bomu ambalo limefanyika katika mji mkuu Kabul pia limejeruhi watu 119 na kati ya waliouawa 21 ni wanawake na watoto watano.
Waliotekeleza shambulio hilo ni Kundi la kigaidi la Islamic State (IS) ambalo limekiri kuhusika na tukio hilo.
Uandikishaji huo wa wapiga kura ulianza March, nchi hiyo ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu ambao utafanyika October mwaka huu 2018.











No comments: