Mwanaume aliyekuwa ‘nusu-uchi’ amimina risasi na kuua
Mwanaume huyo anaelezwa kuwa alikuwa nusu-uchi wakati anafanya tukio hilo ambapo aliingia kwenye mgahawa huo ulioko Nashville katika jimbo la Tennessee na kuanza kuwamiminia risasi watu waliokuwa mgahawani humo.
Inaelezwa kuwa mwanaume mwingine aliyekuwa kwenye mgahawa huo alipambana naye na kufanikiwa kumpora silaha hiyo na muuaji huyo kufanikiwa kukimbia. Polisi wanaendelea na msako kumtafuta.




No comments: