[recent]

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya NHC


 

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Blandina Nyoni.

Pia Rais Magufuli ameivunja bodi ya shirika hilo. Soma taarifa hiyo hapa chini.

No comments:

Powered by Blogger.