Leo March 27, 2018
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi, Abdul Nondo amesimamishwa masomo
Chuo Kikuu cha Dar, hadi kesi yake itakapoisha, Makamu Mkuu wa Chuo
hicho Prof William Anangisye amethibitisha.
Nondo amesimamishwa kuanzia March 26, 2018 kwa barua iliyoandikwa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa William Anangisye.
Abdul Nondo amesimamishwa masomo (Suspension) na UDSM
Reviewed by
sandra
on
March 27, 2018
Rating:
5
No comments: